Mawe meusi

Naona kama Ulanga huu. Natumaini unajua haya ni madini gani, kuwa muwazi na jina la hayo madini upewe taarifa zilizonyooka kama ni ubia ama kuuziwa
 
Kuna huyo jamaa yangu mrusi alikuwa anayatafuta balaaa.
Yapo maeneo mengi hasa Morogoro na manyara!
Bila shaka ni black tourmaline!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…