Mawe, ngoma ya Nyandu Tozzy ft Rayvanny & Mr Blue

Mawe, ngoma ya Nyandu Tozzy ft Rayvanny & Mr Blue

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Hi ngoma nimeikubali ile mbaya imewakutanisha wasanii wakali na kimetoka kitu kikali. Rayvanny kapiga corus nzuri as usual, Nyandu Tozzy katupia mistari kutu alafu akamaliza mtu mbaya Mr Blue. Ngoma Kali kuanzia audio mpaka video. Big up to them!
 
Goma ni kali ila siku hizi wasanii hawatoi nyimbo kali ila wanatoa video kali.
 
We jamaa unatusaidia na wengine kujua taarifa za wcb.
Shukrani kwa hilo.
 
ambao hatujaiona tutakuimini vp, kwa nini usingeiweka hapa..ama na wewe unatumia tecno Kama mimi
 
ambao hatujaiona tutakuimini vp, kwa nini usingeiweka hapa..ama na wewe unatumia tecno Kama mimi
Kuna ngoma nyingine nayo Kali stamina ft barnaba inaitwa safina kaicheki alafu njoo unipe mrejesho.
 
Back
Top Bottom