Zinapatikana aina tofautitofauti.
Pia, tunasaidia kukupatia mteja kama unayo mali.
Mwenye nia thabiti ya kuhitaji kufanya nasi kazi tutafutane.
Strictly business, Hatuhitaji longolongo na Pumba hazitajibiwa.
Mimi nipo Dar.
Tafadhali nipe taarifa zifuatazo kupitia PM;
Mzigo wako unatokea mkoa gani?
Unao uwezo wakupata mzigo mkubwa wa kiasi gani?
Je, nawezaje kupata sampuli za hiyo mali yako?
MUHIMU ZAIDI: Naipatie namba ya simu yako tujadili zaidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.