Mawe ya thamani (Ghafi) kizungu Rough Gemstones. Unahitaji? Ama unatafuta mnunuzi?

dalalitz

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2013
Posts
3,423
Reaction score
1,987


Zinapatikana aina tofautitofauti.
Pia, tunasaidia kukupatia mteja kama unayo mali.
Mwenye nia thabiti ya kuhitaji kufanya nasi kazi tutafutane.
Strictly business, Hatuhitaji longolongo na Pumba hazitajibiwa.
 
Sunstone, scopplite, unawateja?
Upo mji gani?
 
Soko la almas wapi? Ndogondogo size ya sukari
 
Sunstone, scopplite, unawateja?
Upo mji gani?
Mimi nipo Dar.
Tafadhali nipe taarifa zifuatazo kupitia PM;
Mzigo wako unatokea mkoa gani?
Unao uwezo wakupata mzigo mkubwa wa kiasi gani?
Je, nawezaje kupata sampuli za hiyo mali yako?
MUHIMU ZAIDI: Naipatie namba ya simu yako tujadili zaidi.

Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…