Mawe yenye asili ya sumaku

Nyenyere

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2010
Posts
14,804
Reaction score
10,715
Nimekutana na mkulima mmoja MOROGORO akanionyesha mwamba wa mawe yanayokamata vyuma. Mwenye kuelewa soko karibu. Mimi sijawahi fanyia kazi hilo.
 
Nyenyere
Mkuu ni wilaya gani hapa Mororgoro?
Je wewe umefanikiwa kuuona mwamba wenyewe au amekuletea sample tu?
Mimi pia nina biashara ya Copper Ore zaidi ya tani 50, average content 35 to 40% nahitaji mnunuzi kuanzia tani moja kwenda juu. Imechimbwa na iko packed ready for shipping au further processing. Karibu
 
Last edited by a moderator:

Mkuu mwamba wake in mkubwa sana. Pana tani kadhaa hapo.

Kuhusu copper ore Nina jamaa ananunua kuanzia 20%. Huenda tukafanya biashara. Nenda PM.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…