Max apewa mkataba mwingine mpya Yanga fc

Max apewa mkataba mwingine mpya Yanga fc

political monger senior

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2020
Posts
1,827
Reaction score
5,994
... [emoji3578] β€Ίβ€Ί π™ˆπ˜Όπ™“π™„ π˜Όπ™‹π™€π™’π˜Ό π™ˆπ™†π˜Όπ™π˜Όπ˜½π˜Ό π™ˆπ™‹π™”π˜Ό

Baada ya kuvutiwa na kiwango chake uongozi wa Yanga SC umeuchana mkataba wa awali wa miaka miwili wa Maxi Nzengeli.

Mabosi wa klabu hiyo wamempa gari la kifahari pamoja na kumboreshea mshahara wake. Watamuongeza mkataba mpya wa miaka (4). Muda wowote kuanzia leo atasaini mkataba mpya na klabu hiyo.

Kwa mujibu wa chanzo cha kuaminika, pia klabu hiyo itamuongeza mkataba mpya wing-back wao, Yao Kouassi Attohoula (26)

Ukiachana na viwango vyao, pia uongozi wa Yanga umeshtukia mchezo wa baadhi ya mawakala kutoka ndani na nje ya Nchi walioanza kuulizia mikataba yao.

nzegeli.jpeg

Max.jpeg
 
Inavyesemekana max alikua na mkataba wa miezi 6 tuu sio miaka miwili kama wewe ulivyosema na ndomaana maboss wanaangaika kumpa mkataba mpya
 
Mbona kwa fei walishindwa kuyafanya haya? Kweli nabii hakubaliki kwao. Au mtoa mada umetuingiza chaka na hizi tetesi zako
Inasemekana baada ya kuonesha kiwango kikubwa mawakala wengi wameanza kuulizia mkataba wake ndipo yanga wakashtuka.
 
Ni jambo zuri, viongozi wa utopolo wamecheza kama pele..

Mtu akionesha, mkandamize mkataba, miaka mi4 watamfaidi max.
 
Ni kweli mkuu.

Hii habari nadhani ameitoa GAZETI la MWANA Sports.
Kwani mwana sports linaandikwa na Wakamilifu??unaamini sana magazeti??ulimwengu wa sasa na ukuaji wa Kasi wa teknolojia,,usikurupuke kusambaza habari wakati uhakika Huna na hujafanya uchunguzi wa uhakika wewe binafsi ili kujiridhisha zaidi ya ulichokisikia au ulichokisoma mahala popote pale!!
 
Back
Top Bottom