political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,827
- 5,994
Ni kweli mkuu.Chai
Wewe ni nani wa kupangia watu do n donts?Mbona kwa fei walishindwa kuyafanya haya? Kweli nabii hakubaliki kwao. Au mtoa mada umetuingiza chaka na hizi tetesi zako
Sijampangia mtu bali nimeuliza tu,Wewe ni nani wa kupangia watu do n donts?
Eti jamani.Sijampangia mtu bali nimeuliza tu,
Kama habari ni ya kweli.
Basi ni mapema mnoo kuwa amini kwa mechi chache walizo cheza...
Inasemekana baada ya kuonesha kiwango kikubwa mawakala wengi wameanza kuulizia mkataba wake ndipo yanga wakashtuka.Mbona kwa fei walishindwa kuyafanya haya? Kweli nabii hakubaliki kwao. Au mtoa mada umetuingiza chaka na hizi tetesi zako
Yanga hawawezi kumuongezea mkataba KAHABAMbona kwa fei walishindwa kuyafanya haya? Kweli nabii hakubaliki kwao. Au mtoa mada umetuingiza chaka na hizi tetesi zako
Kwani mwana sports linaandikwa na Wakamilifu??unaamini sana magazeti??ulimwengu wa sasa na ukuaji wa Kasi wa teknolojia,,usikurupuke kusambaza habari wakati uhakika Huna na hujafanya uchunguzi wa uhakika wewe binafsi ili kujiridhisha zaidi ya ulichokisikia au ulichokisoma mahala popote pale!!Ni kweli mkuu.
Hii habari nadhani ameitoa GAZETI la MWANA Sports.
Aliambiwa aende waka muongeze akakataa ulitaka wafanyejeMbona kwa fei walishindwa kuyafanya haya? Kweli nabii hakubaliki kwao. Au mtoa mada umetuingiza chaka na hizi tetesi zako
Kumbe aligoma kuongezewa mshahara? Ila nao yanga ilikuwaje makambo akawa na mshahara mkubwa kuliko feiAliambiwa aende waka muongeze akakataa ulitaka wafanyeje
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app