Msaada wana JF kwa mdau aliefanya business ya kutumia mashine ya max malipo, faida yake inakuaje kwenye hizi mashine, na kipi ni bora kuwa na max malipo machine au kwenda moja kwa moja kuwa na M PESA, TIGO PESA NA AIRTEL MONEY! Mwenye experience na hii business wadau?