utopolo og
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 575
- 1,575
Mwaka huu Hawa mbumbumbu maji wataita maaaaaNdiyo kwanza ligi imeanza. Natabiri tu huu mwaka tuzo zitakuwa nyingi sana kwenye kambi ya wananchi.
Kama nyie mbumbumbu mlivyolamba dume kwa sawadogoKwa Max utopolo wamelamba dume
Hukuona mashambulizi yale... au wewe unaongelea penati,ambayo ni Diara na wachezaji wa Simba,wanatenga mpira?Kwani kwenye ngao ya jamii hakuwepo?
Hii comment inaonyesha unawaza uzinzi tu, jamaa kaja kwa ajili ya mpira we unawaza ujinga.Jamaa ana sura mbaya asije zaa tu bongoš¤£
Hiyo mbegu hatuitaki lol