EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 13,579
- 21,407
Wewe amekuboreshea au unabwabwaja tuSasa badala ya kukutana na JPM anakwenda kumwambia Director wa IMF?Max ulitakiwa ukamwambie Magufuli bwana,au unamwogopa ? Huyu Kristina hatosaidia lolote. Mwenye rungu la kuboresha mazingira ya wafanya biashara hapa Tanzania ni JPM.
Nimetumia sehemu ya ubongo ninayoitumia mara chache na katika maswala magumu kukupata mkuu 'Mshana'. Ahsante kwa taarifa.Tulifanya namna kilingeni.. Japo nzi wa rangi fulani walitusumbua sana kutukwamisha
Ipo mingi sana. Ukisikia charity shops ni mitumba kwa wingi.
Anzia Canada nasema Canada kwa kuwa ni jamvi la wageniNaitaman Sana kufika Hawaii mkuu, nipe mchongo nafikaje
Mkuu anafika sehemu nyeti hivi, bado jiwe na serikali yake anamtomasa tomasa tu?View attachment 1265541
View attachment 1265543
Taarifa zinaonyesha kwamba amekutana na Mkurugenzi wa IMF Kristalina Giorgieva , ambapo mazungumzo yao yalijikita katika kuwasaidia vijana wa Kitanzania ili kuangalia uwezekano wa kuboresha mazingira ya kufanya biashara .
Kwa niaba ya Wafanyabiashara vijana wa kimataifa naipongeza sana hatua hii ya Melo kutumia fursa hii adimu kutuombea msaada sisi vijana wa Kitanzania .
Mungu ibariki JF