Maxence Melo: Bei za vifurushi vya internet ni ghali, na huduma ni mbovu. TCRA watetea kupanda kwa bei

Huyu mkurugenzi na makampuni yanayotupiga pamoja na waziri Nape lao moja tu. Kulamba asali umiza.
 
Hii nchi ingekuwa inatenda haki Maxence Melo angekuwa mkurungezi mkuu wa TCRA, kama aliweza kukubali kufungwa kipindi cha dikteta ajili ya kutetea watu ambao wameficha id atashindwa kutetea watanzania masikini? Mifumo ovu ya wala rushwa ndiyo inaendesha nchi
 
dawa ni kutafuta namna ya kutumia data bila kulipia kwa kuvumbua technolojia sisis wenyewe....
 
Hii nchi kunawatu wanatakiwa waliwe nyama mbele ya kadamnasi labda itafungua akili za uzalendo na kuona uchungu wa wananchi wenzao wanavyoumia.
Alijaribu kuwabana Magufuli wewe na waume zako umawakingia kifua acha wawachimbue

USSR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…