BabuKijiko
Member
- May 3, 2024
- 24
- 38
Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo amesema baada ya kutembelea Mikoa tofauti ya Tanzania Bara na Zanzibar, walipata wazo la kuja na mfumo wa uhakiki wa taarifa, ndipo ikawa mwanzo wa kuanzishwa kwa JamiiCheck ambayo ilizinduliwa Mwaka 2022
Maxence ameyasema hayo wakati akichangia mada katika Kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari, leo Juni 18, 2024 Jijini Dar es Salaam, ambapo Kauli Mbiu inaeleza “Jenga mustakabali endelevu kwenye sekta ya Habari katika zama za Kidigitali.