Serikali ilitaka wote tufahamike ili iwe rahisi kwao kumchukua yeyote mwenye mdomo ahahahaaa, msimamo thabiti ni heshima japo yenye uchungu.
Plz correctNdio hatujui kila kitu ndo uandike ENGLE?
Ila ushauri wangu kwa member wa jf
Acheni kujiona mmekamilika Kila Engle yaani wengine kuwepo humu jf anajiona yupo paridiso,
Yap, 😄 he was jiwe kwelikweli, never to compare.Serikali ya Legendary wako?