Maxi malipo:masharti yapi kuwa mtoa huduma?

Maxi malipo:masharti yapi kuwa mtoa huduma?

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Nina biashara na leseni ya biashara.Pia ni mlipa kodi TRA.Nataka kutoa huduma kwa mashine za maxi malipo natakiwa kufanya nini?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom