Maxi zengeli ni mchezaji mzuri ambaye alikuwa ana kosa Matunzo mazuri

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Ikiwa yanga watamtumia zengeli vizuri watakuwa wamempata mchezaji mkubwa na mzuri zaidi na kuna uwezekano mkubwa akaibwa zaidi ya mayele

Zengeli ni namba 10 halasi
Japo anacheza namba 11 na 7 lakini namba yake halisi ni 10

Zengeli ni mzuri kwa vichwa na kwa ma shoot ya moja kwa moja

Zengeli ana speed
zengeli ana nguvu

Zengeli ni mzuri kwa kutoa pass za mwisho

Zengeli sio mzuri kwa dribbling

Zengeli ni mpambanaji

Nataka tu ni wambie zengeli ndo alikuwa mfungaji namba 3 wa league ya kongo mwaka 2020-2021 Baada ya beleke,na mayele

Zengeli ndo alikuwa mchezaji bora wa league ya kongo mwaka 2020-2021

Zengeli ndo alikuwa mchezaji wa bora wa league ya kongo mwaka 2021-2022

Zengeli ndo alikuwa mfungaji bora na mchezaji bora wa league ya kongo wa league hii ambayo ilihishia njiani

Zengeli ndo alikuwa mchezaji wa kwanza kuitwa timu ya taifa ya kongo ya wa kubwa Kabla ya mayele mwaka 2022 kipindi kile waliitwa juma shaban

Na mwisho zengeli ametokea timu ndogo DRC fc maniema
 
kama kuna usajili umenikosha huu msimu basi ni huyu jamaa yaani kama mayele atabaki aisee yanga naiona mbali sana....

max zengeliiiiiiiiiiiii

SAVE THE NAME...
 
Mkude ni .....
Mkude ana ....
Mkude ana ...
Mkude ndo...
Mkude alikuwa ...
 
Kwa sifa hizi, tusubiri uwanjani tuthibitishe.
 
Huyo max hawezi kufanya vizuri bila zembwela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…