punainen-red
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 1,731
- 451
Haahaahaaaaaa! Yaani hawa jamaa mda wote wanawaza uchaguzi tu. World Cup ya 2015...!!!Hiyo World Cup ya 2015 labda ya mchezo wa kiduku,Brazili wanaandaa World Cup ya mpira wa mguu (football) mwaka 2014
Haahaahaaaaaa! Yaani hawa jamaa mda wote wanawaza uchaguzi tu. World Cup ya 2015...!!!
Leodgar Tenga kazi imeshamsinda,alianza vizuri sasa naona kazi imemshinda nafikiri tunahitaji kiongozi mpya TFF
Au anamaanisha siku hizi Bongo inashiriki Copa America!!! Au inaweza kuja tsunami iifyeke Bongo na kuiunganisha na S. America....lolworld cup ya ranga ranga!