GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,286
- 6,736
Licha ya maneno na masimango ya watanzania kwa Kocha Marcio Maxmo kutoka nchini Brazil bado sijaipata furaha ya ukweli kama niliyokuwa nikiipata wakati kocha huyo akiwa na mikoba ya kukinoa kikosi cha timu yetu ya Taifa. Licha ya kuchukua kombe La challenge ni wazi kuwa mapenzi ya watanzania kwa timu yao yamekufa tena. Kama inawezekana turudishieni maxmo wetu.