Hivi wewe unazani kila mtu ni kama wewe.. Wakenya wengi wa JF hamjatoka njee ya Kenya, jinsi mnavyo ona mtu kuja Kenya ni ishu kubwa huwa mnanishangaza sana. Kenya nime kuja na kuzunguka, tena siyo Nai tu kama unabisha wewe bisha. Ila hiyo SGR yenu sijawahi ipanda ila ninapata story zake first hand kutoka kwa watu wanao itumia. Wengine wanasema ni less than 100km/hr.Which ground are you talking about? Have you even stepped your foot in Kenyan soil?
SGR yenu mwendokasi wake kwa Sasa ni 0km/hrπππ kanusha kwa kuweka video au picha za operational burret train na sio ndani ya cabin bali nje tuione Hadi Reli yenyewe.Hivi wewe unazani kila mtu ni kama wewe.. Wakenya wengi wa JF hamjatoka njee ya Kenya, jinsi mnavyo ona mtu kuja Kenya ni ishu kubwa huwa mnanishangaza sana. Kenya nime kuja na kuzunguka, tena siyo Nai tu kama unabisha wewe bisha. Ila hiyo SGR yenu sijawahi ipanda ila ninapata story zake first hand kutoka kwa watu wanao itumia. Wengine wanasema ni less than 100km/hr.
Na wewe tuma picha ya akili yako ikiwa operational! Sio njee, bali ndani tuone kama uko timamu.SGR yenu mwendokasi wake kwa Sasa ni 0km/hr[emoji23][emoji23][emoji23] kanusha kwa kuweka video au picha za operational burret train na sio ndani ya cabin bali nje tuione Hadi Reli yenyewe.
Uenda yule mchina aliyewaita stupid monkey alikuwa MTU mwema Kwa wakenya hivyo aliona uchungu juu vile mnadhulumiwa Kwa kujengewa reli chakavu Kwa bei ya bullet treniHahaha eti 240 km/hr. Kwani ni bullet train? Msitubebe kama watoto
Na wewe tuma picha ya akili yako ikiwa operational! Sio njee, bali ndani tuone kama uko timamu.