aka2030
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 2,657
- 3,679
Achana na sasa kuwa nyuma ya mafanikio ya mdada anayezaa na watu matajiri tu hamisa mobetto
Huyu jamaa ashawahi kuwa nyuma ya watu wengi tu kwa mafanikio kama kina yound D
Kingne ni uwezo wake mkubwa wa kuandika nyimbo na kuimba
Nashangaa sana anarecord nyimbo nzuri sana lakini hazipeleki hewani anabaki nazo anasikiliza tu ndani
Achana na upande wake wa ubunifu wa matangazo na video