Maxrioba huyu jamaa ni multi talented lakini hajikwezi

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Achana na sasa kuwa nyuma ya mafanikio ya mdada anayezaa na watu matajiri tu hamisa mobetto
Huyu jamaa ashawahi kuwa nyuma ya watu wengi tu kwa mafanikio kama kina yound D
Kingne ni uwezo wake mkubwa wa kuandika nyimbo na kuimba
Nashangaa sana anarecord nyimbo nzuri sana lakini hazipeleki hewani anabaki nazo anasikiliza tu ndani
Achana na upande wake wa ubunifu wa matangazo na video
 
Huyu ndio alikua analala kitanda kimoja na young D na D alipoondoka kwake jamaa akaanza kulia? .. yaani seriously analia!!
 
Huyu ndio alikua analala kitanda kimoja na young D na D alipoondoka kwake jamaa akaanza kulia? .. yaani seriously analia!!
Hayo ni matumizi mabaya ya uhuru wako!..
 
Huyu ndio alikua analala kitanda kimoja na young D na D alipoondoka kwake jamaa akaanza kulia? .. yaani seriously analia!!
Inamaana walikuwa na mahusiano ya jinsia moja au ni urafiki tu ulioshibana wa hawa vijana wa dar ndio uliwafanya kupendelea kulala pamoja?
 
kwa hiyo umeona uje kujisifia jf Max....basi siku nyingine uwekege na picha ili tukujue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…