aisee! jinsia yako ni ipi by the way!
Karibu sana, ni kweli hawa watu wanachangamsha sna mada umesahau kuna yoyo na Julius wanamichango mizuri sna!
Guyz nilisoma kwa muda mrefu sana kabla ya kujiunga humu, nilivutiwa sana na michango wa members humu kiasi kwamba hata kama motion inaboa niliowataja hapo juu wanaifanya very interesting, these guyz are so funny. Moderator plz may I not die before I see these guys face to face, plz n plz, I realy love you guyz keep it realy I wanna see you soon.
Goodday.
Du! Nashukuru kama ni kweli, mimi niko available sana nakutana na kila mtu, ila ni vizuri tukamsubiri presdaa atoe tamko rasmi ni lini na wapi? na wewe hujasema unapatikana wapi? Karibu sana.
Binamu, umeona mwenyewe katekista Geoff hajatajwa. Manake nanvyomjua hachelewi kuingilia vismati vya watu. Tukae chonjo kabla hajatuovateki. Hahahaha!
Binamu, umeona mwenyewe katekista Geoff hajatajwa. Manake nanvyomjua hachelewi kuingilia vismati vya watu. Tukae chonjo kabla hajatuovateki. Hahahaha!
hahahahah!shemasi nimeshakaribia ninaomba niku-ovateki,taa nimeshaiwasha
Kabla hatujaingia choo cha kike babylove: Are you he or she?
Mimi ni msichana, au nitaje na umri?
Mkuu speed yako ni ya rocket, ulitushindaga kwa FL tukakubali matokeo, hapa sikubali natoa wito kwa Masanilo, Yoyo, Fidel na Burn tusimwachie tena huyu ndg yetu atumalizie hata hili zali lililojitokeza na wasichana wengine humu igeni mfano huu, jamani sis tupo mkituhitajiIngependeza sana japokuwa umri si tatizo sana. Is Babylove a married She? Hilo ndilo la msingi zaidi.
babylove karibu kwenye forum. hata mimi mwenyewe ni junior member lakini hao members uliowataja wanafanya hii page kuwa so homely and warm. napenda sana michango yao pia wengine wote wanachanga vema.
@chrispin : nadhani jinsia yake ni mwanadada username yake imekaa kidada "babylove"