May i not die before masanilo,nguli,chrispin,fidel80&burn

yah!tunaandaa minutes za kikao kilichopita.zikikamilika tutawatumia kwa barua pepe.then mtapendekeza kikao kikae baa gani next time

ha ha ha ha GEOF wewe shapu sana...naomba bar utakaypoendekeza usiweke hapa kuna member alisema atampiga Fidel nafkiri unamkumbuka....
 
Kwi kwi kwi! te te te, XSPN siitaji kumuuliza ni chama gani cha siasa....ana ahadi hewa sana

NB: HII TREAD YA BABY WETU UNARUHUSIWA KWENDA NJE YA MAADA NA ZII IS STRICLY FORBIDEN

Hahaha! Mpwa chochote isipokuwa CCM au CUF. Nilikuwa najua we ni muumini mwenzangu mzuri. Ila kusamehe kwako ni Vocabulary mpya. Lol! I wish ile siku ingekuwa leo.
 
yah!tunaandaa minutes za kikao kilichopita.zikikamilika tutawatumia kwa barua pepe.then mtapendekeza kikao kikae baa gani next time

You have said it! Hahaha! Hiyo baa lazima iwe na maji ya dasani ya kutosha kwa ajili ya mpwa nguli. Hahaha!
 
ha ha ha kwi kwi kwi! this time nitakunywa BAVARIA non alcholic mimi nilivyo tayari nimelewa hata mwl wangu alukuwa ananiambia sasa nikilewa sinitabaka buree?
 
ha ha ha ha GEOF wewe shapu sana...naomba bar utakaypoendekeza usiweke hapa kuna member alisema atampiga Fidel nafkiri unamkumbuka....

Lol! Basi kingine kifanyike si mbali sana na ofisi za Alhaji Suleiman Kova. Hahahaha! Watu bana, miwivu tuuuuuuuu!
 
Hahaha! Mpwa chochote isipokuwa CCM au CUF. Nilikuwa najua we ni muumini mwenzangu mzuri. Ila kusamehe kwako ni Vocabulary mpya. Lol! I wish ile siku ingekuwa leo.

Ulivyotaja voca nikakumbuka yule mwl wetu wa voca u kno wora am sayin'
hayo yamepita ngoja jumamosi hii tuone utatoa sababu gani.
 
Lol! Basi kingine kifanyike si mbali sana na ofisi za Alhaji Suleiman Kova. Hahahaha! Watu bana, miwivu tuuuuuuuu!

Aah! wapi? Nafikiri humjui GEOF ni baunsa wa kikweli,
 
ha ha ha ha GEOF wewe shapu sana...naomba bar utakaypoendekeza usiweke hapa kuna member alisema atampiga Fidel nafkiri unamkumbuka....
nakumbuka sana,itakuwa attached kwenye minutes.na uzuri wa kikao kijacho ni kwamba kuna member ambaye hakuhudhuria,na amekiri kutoa faini.kwa hiyo wapwa msije na pesa kabisa.yeye ata incurr kila kosts.kuanzia makange,mbuzi,bia,bavaria za nguli na hela ya taksi ya kumrudisha SEMENYA MVUTI!(nimeona ameahidi atakuja),pamoja na hela ya kuweka mafuta kwenye motokari ya fl1 nae atakuwepo.
 
Hakika hii itakuwa siku pekee, natamani sana kumjua first lady tunaomba uongozi wa JF utume mwakilishi!!!
 
Ulivyotaja voca nikakumbuka yule mwl wetu wa voca u kno wora am sayin'
hayo yamepita ngoja jumamosi hii tuone utatoa sababu gani.

Yaa the BR guy! Jumamosi Heshima itakuwepo mkuu. Lol! Ile siku bahati mbaya mbwa aliingia msikitini.
 
Hehehehe! Huyo Semenya huyo! Hivi ni she au he? Mi ntakuwa na mchumba wangu. Ameshachukua likizo kabisa ili kuondoa incoveniences.
 
Ni mchanganyiko maalumu wa jinsia 2.
 
Hahaha! Huyo mwenyeji wake atakuwa mpwa papaa Fidel muzee ya pesa mingi!

umesahua sifa yake ingine kichwa cha treni ya mkoloni hakichoki ndovu/bendi 12 za redio ya mbao ya mkulima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…