Yoyo amesahaulika hapa na JUlius
Duuu,Paka Jimmy wewe ni kiboko,jinsi unavyowadiscredit hawa jamaa as if wamekuchukulia mke,lakini take care unaweza kuta huyu baby love ni dume,kumbuka kuna Kazimungala(jinamizi)!!!Babylove
Hao wote uliowataja hapo juu ni wagonjwa na huenda anytime tukawakosa, so please attach yourself to me, a reliable, disciplined, self reliant, humble man. na mbaya zaidi ni kwamba tumewakaribisha juzijuzi kwenye jambi, hawana uzoefu wowote...Chagua kilicho bora dada, ohooo!
Mkuu speed yako ni ya rocket, ulitushindaga kwa FL tukakubali matokeo, hapa sikubali natoa wito kwa Masanilo, Yoyo, Fidel na Burn tusimwachie tena huyu ndg yetu atumalizie hata hili zali lililojitokeza na wasichana wengine humu igeni mfano huu, jamani sis tupo mkituhitaji
Babylove
Hao wote uliowataja hapo juu ni wagonjwa na huenda anytime tukawakosa, so please attach yourself to me, a reliable, disciplined, self reliant, humble man. na mbaya zaidi ni kwamba tumewakaribisha juzijuzi kwenye jambi, hawana uzoefu wowote...Chagua kilicho bora dada, ohooo!
Babylove
Hao wote uliowataja hapo juu ni wagonjwa na huenda anytime tukawakosa, so please attach yourself to me, a reliable, disciplined, self reliant, humble man. na mbaya zaidi ni kwamba tumewakaribisha juzijuzi kwenye jambi, hawana uzoefu wowote...Chagua kilicho bora dada, ohooo!
am a she pia
Danganya toto kula kande mbichi. Hebu mPM mpwa nguli upate habari sahihi.
Babylove,
Kama taarabu ipo basi wee anza kujiandaa kuhamia huku Sikonge.
Ninalipa ng'ombe wengi tu ukweni, na kwa kweli wakwe hawatajuta.
Masanilo na Julius ni Wabahili sana kwenye ulipaji mahali wa Ng'ombe. Watakuja na Zimbabwe Dollas kibao kumbe ni makaratasi.
Huyo Nguli kajenga limwili tu ila akivua suruali, mhhhhhh!!!!! Ndiyo maana muda wote anakupa Push-Up......
Chrispian, yeye kashakula sana vumbi la Cement na atakunyanyasa na matusi ya Wabeba Zege (Saidia). Na wale watu kama unawafahamu, wanatukana hadi .........
So, mambo yote Sikonge, kunywa uji wa ukwaju na asali. Ni Mswano kinoma.....
LAMUHIMU: Karibu sana JF. Mchango wako twausubiri saaana......
Hutaki sasa kwamba mimi ni she? Nguli niPM upate habari kamili
Lol! Mwanakondoo anayekaribia kufa kwa njaa anapokutana na simba mwenye njaa.
Mpwa zali hilo, lakini stuka kiaina. Unaweza ukauziwa maji kwenye chekecheke.
Babylove,
Kama taarabu ipo basi wee anza kujiandaa kuhamia huku Sikonge.
Ninalipa ng'ombe wengi tu ukweni, na kwa kweli wakwe hawatajuta.
Masanilo na Julius ni Wabahili sana kwenye ulipaji mahali wa Ng'ombe. Watakuja na Zimbabwe Dollas kibao kumbe ni makaratasi.
Huyo Nguli kajenga limwili tu ila akivua suruali, mhhhhhh!!!!! Ndiyo maana muda wote anakupa Push-Up......
Chrispian, yeye kashakula sana vumbi la Cement na atakunyanyasa na matusi ya Wabeba Zege (Saidia). Na wale watu kama unawafahamu, wanatukana hadi .........
So, mambo yote Sikonge, kunywa uji wa ukwaju na asali. Ni Mswano kinoma.....
LAMUHIMU: Karibu sana JF. Mchango wako twausubiri saaana......
Mmetuamulia kuhakikisha nyota zetu hazingari mwishoni yeye baby ataamua nani ni nani?
Kizuri kula na nduguyo mkuu!Du! Nashukuru kama ni kweli, mimi niko available sana nakutana na kila mtu, ila ni vizuri tukamsubiri presdaa atoe tamko rasmi ni lini na wapi? na wewe hujasema unapatikana wapi? Karibu sana.
Guyz nilisoma kwa muda mrefu sana kabla ya kujiunga humu, nilivutiwa sana na michango wa members humu kiasi kwamba hata kama motion inaboa niliowataja hapo juu wanaifanya very interesting, these guyz are so funny. Moderator plz may I not die before I see these guys face to face, plz n plz, I realy love you guyz keep it realy I wanna see you soon.
Goodday.