May Money azua gumzo: Am better than Mohamed Ali and Sugar Ray

Paul S.S

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2009
Posts
6,407
Reaction score
3,260
“No one can ever brainwash me to make me believe that Sugar Ray Robinson and Muhammad Ali were better than me,” Mayweather told ESPN.

“But one thing I will do, I’m going to take my hat off to them and respect those guys that paved the way for me to be where I’m at today.”

Kauli hii imeleta mjada mkubwa kwenye ulimwengu wa masumbwi kwenye media mbali mbali na mitandao ya kijamii

Kundi linalokubaliana nae linavigezo vyake iliwemo hajapigwa hata pambano moja, anaushawishi mkubwa na ni mwanamichezo anayelipwa pesa ndefu kuliko wote

Wasiokubaliana naye wanadai anachagua sana wapinzani wa kupigana naye na anakimbia kimbia sana jukwaani badala ya kupambana
 
Ngoja wakadukue na kiherehere chake ndio karudi tena kusema kiswahili chake hapa
 
But ujinga kujiaminisha kuwa bora kuliko ally na sukari huyu ni wa kupuuzwa ally alipigana mapambano ambayo mpaka leo yapo kwenye vitabu vya kumbukumbu na hao wapinzani wake walikuwa watu wa ukweli kuna moja ilikuwa na joe frazie mkono umepigwa joe yupo chini anahesabiwa mpaka kumi hanyanyuki ally anainulia mshindi muda kidogo nae chini! jioni wakaalikwa chakula na raisi ford Joe hakutokea akapeleka ujumbe "nilikupiga masumbwi ambayo hata ngo' mbe angeanguka hakika wewe ni bingwa "leo ajilinganishe nae.
 
Jamaa ni mkali sana no doubt, kaanza muda na hajawahi angushwa, proof gani nyingine mtu anahitaji
 
Anajichagulia watu wa kucheza nao,wale wakali anawakwepa..
 
Anajichagulia watu wa kucheza nao,wale wakali anawakwepa..

Wakali gani amewakacha mkuu
Mi nadhani may ana haki ya kusema hivyo kulingana na takwimu na haswa ukizingatia ametokea kwenye zama ambazo hakuna mabondia strong wanaotoa upinzani wakweli
 
Wakali gani amewakacha mkuu
Mi nadhani may ana haki ya kusema hivyo kulingana na takwimu na haswa ukizingatia ametokea kwenye zama ambazo hakuna mabondia strong wanaotoa upinzani wakweli

Anachofanya anasubili baadhi ya mabondia wazeeke kwanza au washuke kiwango ndo acheze nao,Sugar Shane Mosley,Miguel Cotto,hawa wote walitaka kucheza nae wakati wapo juu kiviwango Mayweather akachomoa,kwa Cotto pia mpaka alipoteza mapambano kadhaa,Morales pia ni wengi mno,mpaka sasa naesabu alipigwa na Bardomir,De la Hoya,Colales na la hivi karibuni Maidana 1...BUT in may 2....the pazzle will be solved trust me.....
 
Mohamed Ali alisema anampa nafasi ya ushindi Man Pac so naona Money man kaamua kumchana live
 
Wakali gani amewakacha mkuu
Mi nadhani may ana haki ya kusema hivyo kulingana na takwimu na haswa ukizingatia ametokea kwenye zama ambazo hakuna mabondia strong wanaotoa upinzani wakweli

Sure anadeserve kusema hivyo kutokana na current statistics zake
 
1980's na 1990's ndo kulikuwa na mabondia wenye nguvu na speed.

Laiti Tyson angekuwa enzi hizi, angeua mtu ulingoni.

Huyu Mayweather huwa anakutana na mabondia waliochoka. ManPac atamuaibisha mapema sana.
 
hahahaha Sasa mkuu kwani yeye hazeekii?
 
1980's na 1990's ndo kulikuwa na mabondia wenye nguvu na speed.

Laiti Tyson angekuwa enzi hizi, angeua mtu ulingoni.

Huyu Mayweather huwa anakutana na mabondia waliochoka. ManPac atamuaibisha mapema sana.

Alafu mkuu unapojaribu kulinganisha uyo tyson na mabondia wa sasa usimlinganishe na mayweather sababu hawapo uzito sawa,mlinganishe na wale warusi wladmir na kakaaake vitali alafu uniambie nani ambae tyson angemuua zaidi ya yeye kuuliwa
 
Tyson mtu mwingine aisee. Tyson at his prime hakukuwa na wa kumgusa.
 
Mkuu sijui hata huwa mnafikiria nini kutengeneza hoja hizi....

Unamaanisha nini haswa unaposema anasubiri wazeeke au wachoke?
Inamaana yeye hazeeki wala hachoki?

Na kuhusu hao unaosema wamempiga labda kama unatumia kigezo cha movement za ulingoni bila kuangalia statistics, Maidana alifanya alichofanya De la Hoya kurusha ngumi nyiiingi lakini hazina accuracy, Maywether ni bingwa wa kucheza na score board, ngumi chache lakini accuracy ya juu, ukitaka kumkata ngebe ni kumpiga K.O, mind that the dude never ever get a single punch that bring him down....... Never
 
Huyo Pacq hana lolote anategemea madawa, atachanwa vibaya sku hiyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…