Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
Nimeshuhudia mzigo mkubwa wa mayai yanavuka mpaka wa Mtukula na kuingia nchini. Nilivyojaribu kuuliza wenyeji nikaambiwa maboss wa vitengo vya Usalama na ukusanyaji kodi wapo kwenye payroll ya importers.
Kibaya zaidi ni kwamba hayo mayai hayalipiwi kodi kwa sababu yamezuiwa kuingizwa nchini (prohibited). Wengine waliopo kwenye syndicate hii ni wakusanya ushuru waliopo Kyaka.
Kibaya zaidi ni kwamba hayo mayai hayalipiwi kodi kwa sababu yamezuiwa kuingizwa nchini (prohibited). Wengine waliopo kwenye syndicate hii ni wakusanya ushuru waliopo Kyaka.