Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
Sasa hizi fitna ndo maana tutabaki hivi tulivyo, kama kuna soko la mayai ndani maanake anae faidika ni mtanzania ale hayo mayai aboreshe afya yake.Nimeshuhudia mzigo mkubwa wa mayai yanavuka mpaka wa Mtukula na kuingia nchini. Nilivyojaribu kuuliza wenyeji nikaambiwa maboss wa vitengo vya Usalama na ukusanyaji kodi wapo kwenye payroll ya importers.
Kibaya zaidi ni kwamba hayo mayai hayalipiwi kodi kwa sababu yamezuiwa kuingizwa nchini (prohibited). Wengine waliopo kwenye syndicate hii ni wakusanya ushuru waliopo Kyaka.
Kweli kabisa. Miaka ya nyuma nilikua naleta maziwa ya unga ya watoto ya Lactogen kutoka SA. Maziwa hayo hayo yalikua yanauzwa Zambia, Malawi na Zimbabwe lakini Tanzania walikua hawataki tuyaingize kisa tu kuna mhindi aliekua anayaingiza kutoka sijui Holland na kutuchongea kua haya ni fake wakati manufacturer ni mmoja ingawa yanatokea nchi tofauti.Masta mambo kama haya ni kukausha tu ili mradi hayo mayai sio sumu.
Mimi nilienda Malawi kupeleleza ni zao gani na weza kununua ni lete bongo land niuze, nikagundua ni Karanga na Soya.
Cha ajabu ili uisafirishe bongo na ikulipe ni lazima uwe kama hao jamaa wa Mayai hapo mtukula [emoji23][emoji117] kwahiyo mambo kama haya na kushauri upige kimya tu, watu wale kwa urefu wa kamba zao, labda kama ingelikua wanatuletea sumu.
Watu wanaiba ma billions huko serikalini, na hawafanywi kitu Barrick wamesamehewa kodi ya fidia 360 Trillions sembuse huyo mwamba alie safirisha hayo mayai ukute mzigo mzima haufiki hata 10 millions. [emoji855][emoji849] (KAUSHA)
Yes ukuda kama huu upo sana tu, si kama wa maasai walivyo furushwa kule ngorongoro kisa pimbi mmoja anataka ku hodhi hilo eneo [emoji30].... hii nchi yetu usipo kuwa na akili za kujiongeza uta kua wa mwisho kila siku.Kweli kabisa. Miaka ya nyuma nilikua naleta maziwa ya unga ya watoto ya Lactogen kutoka SA. Maziwa hayo hayo yalikua yanauzwa Zambia, Malawi na Zimbabwe lakini Tanzania walikua hawataki tuyaingize kisa tu kuna mhindi aliekua anayaingiza kutoka sijui Holland na kutuchongea kua haya ni fake wakati manufacturer ni mmoja ingawa yanatokea nchi tofauti.
Katerero pwaaaa....! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Roho mbaya za Kayafa
Watu wale ikibidi hata pisi za matokeni zivuke TUJIBURUDISHE ....
Kuna cerelac ya age flani tulitishwa tusinunue eti siku hizi ni fake, kumbe kuna behind the scenes!!!!Kweli kabisa. Miaka ya nyuma nilikua naleta maziwa ya unga ya watoto ya Lactogen kutoka SA. Maziwa hayo hayo yalikua yanauzwa Zambia, Malawi na Zimbabwe lakini Tanzania walikua hawataki tuyaingize kisa tu kuna mhindi aliekua anayaingiza kutoka sijui Holland na kutuchongea kua haya ni fake wakati manufacturer ni mmoja ingawa yanatokea nchi tofauti.