mayai uvunguni

hernanes96

Member
Joined
May 2, 2015
Posts
16
Reaction score
6
mke katika kufanya usafi chumbani kwake akakuta sanduku uvunguni.akafungua na kukut mayai matano na sh milion 1.jioni akamuuliza mumewe na ilikua hivi
MUME; usijali,huwa nikisex nje ya ndoa naweka yai humo
MKE; kumbe mume mwaminifu eeh! yan umetoka nje ya ndoa mara tano tu katika miaka miaka mingi yote hii,majirani wanakusingia tu,na hizi hela ni za nini?
MUME; huwa mayai yakiwa mengi nauza na hela naweka humo humo
mke akazimia kwa ghadhabu na hasira alizopata ghafla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…