Mayai ya Bundi ni zaidi ya dhahabu

Wajinga ndiyo wataoikubali hii...
Kuna watu watapigwa hapa kilio cha mbwa koko!

Red mercury, rupia ya mjerumani, sijui senti ya bluu, watalii na vinyago na dollar, huu ndiyo muendelezo wake, sambamba na umepokea hela kimakosa tuma kwenye namba hii jina litatokea, MWANAKUYAFAINDI MWANAKUYAGET..

Everyday is Saturday.......................... 😎
 
Nilipanda kwenye Mkuyu, nikaona mayai, nikakimbia kununua wembe, unanasa. Nikapata 10m za Kenya; Ila Mimi nikapata 16m za kitanzania, zingine sijui zilienda wapi, maisha siyo mabaya nimejenga.

BUNDI HUWA HATENGENEZI KIOTA. Siku zote anatagia ardhini.

Kaibie mazwazwa huko.
 
Sasa kwanini usingewavizia tu hao bundi na kuwafuga?! Yaani ukipata majike yako 5 tu, wewe ni millionaire!
 
Man sina shida na pesa yako. Inaonekana akili yako ya kimasikini sana
 
Hamjalazimishwaaaaaa
Hujanilazimisha nini?! Mimi nimekuonesha njia ya ku-make more and more millions of TZS kwa kukuambia ufuge kabisa hao bundi, manake ukiwa na majike 5 tu, watakufanya uwe millionaire! Just imagine, kabundi kamoja tu na tuvimayai twake tuwili, kakakuletea almost 200M za Kibongo! Sasa bundi 5 wakikupa mayai 10 si BILIONI MOJA hiyo Chifu?!

Sasa badala ya kunishukuru unaamua kuninanga?! Take my advice and thank me later!!!
 
Mzee yana masharti yake
 
Ni kweli kabisa unachokisema nimewahi kusikia hivyo lkn pia inasemekana km unajua kuyatumia vzr unakuwa tajiri kupindukia yn unaweza omba kwa ujuzi wako kupitia hayo mayai kufumba na kufumbua almasi hizo hapo.

Mimi nina connection ya kiota Cha popo yn kwa mtu atakaye kipata hicho kiota anicheki tupige km mil 30 za kitanzania kwa kila kimoja (so km unavyo 10 una milioni 300), nilipewa huo mchongo nikawaambia watu wavisake huko kijijini wakakosa.

Ukikipata hicho kiota hakikisha kama ni kweli kwa kufanya majaribio haya [emoji116][emoji116]

Chukua hicho kiota (zingatia kipo km cha udongo au km kimetengenezwa kwa magome flani hv na co Cha majani) chukua kitunguu saumu sogeza karibu ya kiota basi hicho kiota kitasogea au chukua saa nzima ya mshale isogeze karibu na icho kiota saa ikisimama basi ndiyo chenyewe we nitafute tupige pesa hiyo connection nimepewa tng mwezi wa kumi mwaka jana Mpaka leo bila bila wazeiya.
 
Naona wewe unajua hayo mambo kamanda ila Kuna nyumbu humu wanaona Kama nawatapeli
 
kama kweli kuna sehemu inamabundi hayapungui 200 yanaishi kwenye mti huo huo mayai kibao
 
kama kweli kuna sehemu inamabundi hayapungui 200 yanaishi kwenye mti huo huo mayai kibao
Duh thread ipo pg 5.
Inaonekana somo la biology halikuingia.
Bundi ni mnyama anazaa, Ile kuruka sio sifa ya kumfanya awe ndege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…