js52471224
Member
- Oct 8, 2017
- 50
- 31
Wadau wa jamiiforum natumaini ni wazima kutokana napilika za maisha. Niende kwenye mada nikiwa kwenye pilika zangu nikutanana na mtu, katika kuongea habari mbalimbli kaniambia eti YAI LA BUNDI linatafutwa na wanalipa hela ndefu. Eti wadau wa jamiiforum yai LA bundi Lina kazi gani?