Mayai ya kienyeji /vifaranga wa kienyeji

Jaribio hili halina zaidi ya miezi 9 Sijajua itakuwaje baadae ila vifaranga wamekua na wamefikia kutaga ninawatunza kienyeji yaani wanatembea tembea nje.

Mwaka sasa, nini kinaendelea mkuu?
 
Nahitaji mayai ya kenbro tray1 naweza kupata?.
 
Mama Joe

Hope unazungumzia mayai, unaweza kupata kesho yake. Tunaweza kuonana mitaa ya posta kuanzia j'tatu-ijumaa. siku za w'end nakuwa tight sana. Nafikiri tupange tu yote yanawezekana

mkuu habari? bado unaendelea na ufugaji? ningetaka kujua kama naweza kupata vifaranga vya Malawi au kama una vifaranga vya kuku wa kienyeji
 
mayai ya kienyeji ini shiilingi ngapi kwa trei moja?
 
Nahitaji mayai fertilized ya kienyeji na chotara nipo Dar.
 
Kwa yeyote anayefanya biashara ya dagaa wa mwanza wa kuku na mashudu ya pamba, plz tuwasiliane

Salamu mkuu
samahani , manzese ni sehemu gani hasa wanakouza pumba?

pia niliona kuna mtu kakwambia wanayo na mashudu, ulifanikiwa kupata?
 
Salamu mkuu
samahani , manzese ni sehemu gani hasa wanakouza pumba?

pia niliona kuna mtu kakwambia wanayo na mashudu, ulifanikiwa kupata?

Pale manzese pana mashine nyingi za kukoboa na kusaga mahindi. Mashudu pia yapo mkuu
 
Changamkia fursa, vifaranga bado wanapatikana kwa idadi unayotaka. Karibuni
 
Wafugaji wapya na wote wenye ina ya kufuga kuku wa kienyeji hamjachelewa VIFARANGA bado vinapatikana
 
mama john nisaidie mawasiliano yako nataka hizo mbegu 2 za mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…