Organic mts garden New Member Joined Sep 13, 2021 Posts 4 Reaction score 10 Sep 13, 2021 #1 Kiini cha njano,kuku wanapewa majani kila siku, hatutumii carophyl yellow kuongeza unjano Bei ya elfu 6800(kuanzia trei 10) Oysterbay karibu na ccbrt 0738832076 Bei inapanda na kushuka,kwa hiyo inapobadilika nabadilisha pia katika tangazo humu...hakuna sehemu ya ku edit title ya tangazo. View attachment 2179427View attachment 2179428View attachment 2179429
Kiini cha njano,kuku wanapewa majani kila siku, hatutumii carophyl yellow kuongeza unjano Bei ya elfu 6800(kuanzia trei 10) Oysterbay karibu na ccbrt 0738832076 Bei inapanda na kushuka,kwa hiyo inapobadilika nabadilisha pia katika tangazo humu...hakuna sehemu ya ku edit title ya tangazo. View attachment 2179427View attachment 2179428View attachment 2179429
Dr Msweden JF-Expert Member Joined Nov 3, 2020 Posts 2,629 Reaction score 9,530 Sep 13, 2021 #2 Mayai yana almasi nini? 650???
Mbuty JF-Expert Member Joined Sep 16, 2011 Posts 411 Reaction score 238 Sep 17, 2021 #3 Safi, good price as well. Kongole kwako.
Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 70,785 Reaction score 186,690 Sep 17, 2021 #4 Mayai yanapatikana kwa wingi gani? Yanaweza kujaa kwenye canter?
mkosa yote JF-Expert Member Joined Nov 9, 2018 Posts 504 Reaction score 1,071 Feb 17, 2022 #5 Kichwa cha habari 7500 ndani ya Tangazo 7800.Nani anamuibia mwenzake? Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Kichwa cha habari 7500 ndani ya Tangazo 7800.Nani anamuibia mwenzake? Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Logikos JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 15,460 Reaction score 24,233 Feb 17, 2022 #6 mkosa yote said: Kichwa cha habari 7500 ndani ya Tangazo 7800.Nani anamuibia mwenzake? Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app Click to expand... Labda hapo ni Jumla na Rejareja..., technically hakuna mwizi mpaka dakika hii ila naendelea kufuatilia...
mkosa yote said: Kichwa cha habari 7500 ndani ya Tangazo 7800.Nani anamuibia mwenzake? Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app Click to expand... Labda hapo ni Jumla na Rejareja..., technically hakuna mwizi mpaka dakika hii ila naendelea kufuatilia...
Medecin JF-Expert Member Joined Nov 29, 2011 Posts 8,221 Reaction score 22,496 Feb 17, 2022 #7 Una kuku 600 au sio
Organic mts garden New Member Joined Sep 13, 2021 Posts 4 Reaction score 10 Feb 24, 2022 Thread starter #8 mkosa yote said: Kichwa cha habari 7500 ndani ya Tangazo 7800.Nani anamuibia mwenzake? Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app Click to expand... Kama unafanya biashara ya mayai bei kubadilika sidhani kama ni jambo la kukushangaza kama bidhaa zingine zinabadilika kila siku.
mkosa yote said: Kichwa cha habari 7500 ndani ya Tangazo 7800.Nani anamuibia mwenzake? Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app Click to expand... Kama unafanya biashara ya mayai bei kubadilika sidhani kama ni jambo la kukushangaza kama bidhaa zingine zinabadilika kila siku.