Selemani Sele
JF-Expert Member
- Feb 25, 2023
- 343
- 768
Wakati ya kizungu unapata trei 3 π€£π€£π€£Kienyeji tray 24K utatoboa?
Sisi watoto wa Dar,Mabachelor Mlo wetu main ni Ugali na Mboga Ya Mayai. Na kama ilivyozoeleka Yai kiini chake ni cha Njano ila Tangia Juzi nikinunua Mayai kiini ni cha Rangi ya Chungwa (Orange) na halina Shombo hata Kidogo nawaza haya mayai ya nini au Tuhamie Kwenye Kienyeji,
too much imekuwaUnjano uliokolea au unjano uliofifia (orange) ninavyojua inatokana na vyakula anavyokula kuku.
Kuna vyakula wakila hasa vyenye majan majan inawapa kuku aina ya vimelea inavyofanya watage mayai ya njano. Na wakikosa bas huwa wanatoa mayai ya Orange.
Na Kusuhu je? yana virutubisho vinavyotakiwa au havina. Sina uhakika kwa kweli.
Angalia usije ukaishia kumla huyo mama mwenye nyumba...au ukaishia kurogwa! πKazi ya upishi Geto nzuri Sana ila kwenye usafi wa vyombo nachemka.
sasa hivi namuachia tu mama mwenye nyumba hotpot na Hela kidogo, jioni nakuta msosi wa nguvu.
Tuishi na majirani vizuri wakuu
Tuko na kama heshima Fulani tunaheshimiana, naanzaje kumwambia naomba kipochi manyoyaAngalia usije ukaishia kumla huyo mama mwenye nyumba...au ukaishia kurogwa! π
Huwa inatokea tu...Tuko na kama heshima Fulani tunaheshimiana, naanzaje kumwambia naomba kipochi manyoya
Hatuna mazoea ya kuingia kwake au chumbani kwangu. Mambo yote yanaishia mlangoni tu mkuu π€£Huwa inatokea tu...
Hutamuomba ila utakuta tu ushamla! π
Unavyokomaa kukataa sasa mh! Si ajabu ushambomoa tayari. Kijana wa hovyo ww πππHatuna mazoea ya kuingia kwake au chumbani kwangu. Mambo yote yanaishia mlangoni tu mkuu π€£
Unamjua huyu mama mbona unakazana kwamba nimemkaza, angekuwa na Tako sawa ningetupia hata ndoano Kwa mbali.Unavyokomaa kukataa sasa mh! Si ajabu ushambomoa tayari. Kijana wa hovyo ww πππ
SERIKALI IINGILIEOrange kwenye kiini ni wanapopewa mboga mboga za majani kwa wingi. Cha njano ni pale wakikosa mboga mboga na virutubisho vyake
Saikolojia inasema kwamba mtu anayekana sana jambo hata kama anataniwa tu, basi kuna uwezekano mkubwa sana kuwa jambo hilo keshalifanya. Wewe na huyo mama kuna kitu kilishatokea wallahi! πππUnamjua huyu mama mbona unakazana kwamba nimemkaza, angekuwa na Tako sawa ningetupia hata ndoano Kwa mbali.
Sasa mama ana shepu ya kizaramo nyege zinatoka wapi
Vipi kama mtu huyo anakana Hilo jambo Kwa utani vile vile π€£Saikolojia inasema kwamba mtu anayekana sana jambo hata kama anataniwa tu, basi kuna uwezekano mkubwa sana kuwa jambo hilo keshalifanya. Wewe na huyo mama kuna kitu kilishatokea wallahi! πππ