Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inategemea na utunzaji kama unaweka kwenye cool place i.e jokofu (fridge) yanayaweza kukaa hata zaidi ya mwezi kwa maelezo zaidi cheki hapo chiniHeshima kwenu wakuu.
kwa wale wafugaji mayai ya kuku wa kienyeji na kisasa yana uwezo wa kukaa muda gani bila huharibika?