Mayai ya kuku yana uwezo wa kukaa muda gani bila kuharibika?

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,292
Heshima kwenu wakuu.
kwa wale wafugaji mayai ya kuku wa kienyeji na kisasa yana uwezo wa kukaa muda gani bila huharibika?
 
Heshima kwenu wakuu.
kwa wale wafugaji mayai ya kuku wa kienyeji na kisasa yana uwezo wa kukaa muda gani bila huharibika?
inategemea na utunzaji kama unaweka kwenye cool place i.e jokofu (fridge) yanayaweza kukaa hata zaidi ya mwezi kwa maelezo zaidi cheki hapo chini
www.eatbydate.com/eggs-shelf-life-expiration-date/
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…