Habari zenu wana jamii forum,napenda kuwajulisha kua kwa wale wenye uhitaji wa mayai ya kwale,yanapatikana mjini D.s.m na mikoa ya karibu!bei kwa tray moja ni Tshs 15,000/= na pia iwapo utahitaji kuwekea mayai kwenye incubator kwa idadi utakayoitaka ili upate vifaranga,bei ya kuweka tray moja kwenye incubator ni Tshs 10,000/= kwa mwenye kuhitaji anaweza wasiliana nasi kwa simu zifuatazo: 0784670026, 0784784634 na 0713784634