Mayai ya Kwale (Quail eggs) yanapatikana kwa bei nafuu

Mayai ya Kwale (Quail eggs) yanapatikana kwa bei nafuu

adrian luck

New Member
Joined
Mar 22, 2014
Posts
1
Reaction score
0
habari wanajamii

kwa wanaohitaji mayai ya kware yanapatikana kwa bei nafuu kabisa ya tshs 15,000 kwa trei

For those in need of quail eggs, they are available at an affordable price of tshs 15,000 a tray
U are mostly welcom, check me via PM
 
nimesikia hayo mayai ni mazuri sana kwa afya asee hasa ukiyala yakiwa mabichi,,,unapatikana wapi?? alafu tuwekee na namba za simu ingekua rahisi zaidi...
 
nimesikia hayo mayai ni mazuri sana kwa afya asee hasa ukiyala yakiwa mabichi,,,unapatikana wapi?? alafu tuwekee na namba za simu ingekua rahisi zaidi...

Piga number hii

Kwale Bora Ltd
0654 163 784
 
Mimi nina rafiki yangu anauza tray 10,000 tu. Hivyo hiyo siyo bei rahisi kama unvyosema
 
Mimi nina rafiki yangu anauza tray 10,000 tu. Hivyo hiyo siyo bei rahisi kama unvyosema

Niko mikoani he naweza pata kwa being gain ili nitotoleshe
 
Hii biashara ya kware inanitatiza. .kware hawa ni kitoweo au nini? Hayo mayai yananini cha ziada. .utafiti ulifanyika wapi? Tushawishini basi tushawishike...
 
Jongwe ameuliza swali nzuri sana tunaomba mtupatie Elimu juu ya ndege kware pamoja na mayai yake
 
Back
Top Bottom