adrian luck
New Member
- Mar 22, 2014
- 1
- 0
nimesikia hayo mayai ni mazuri sana kwa afya asee hasa ukiyala yakiwa mabichi,,,unapatikana wapi?? alafu tuwekee na namba za simu ingekua rahisi zaidi...
Mimi nina rafiki yangu anauza tray 10,000 tu. Hivyo hiyo siyo bei rahisi kama unvyosema