Mayai ya kware (Quail)

ASAKI

Member
Joined
Jul 7, 2014
Posts
28
Reaction score
2
Kwa wajasiriamali, natafuta mayai ya kaware kwa ajili ya kutotolesha. Nipo Mwanza.

Msaada tafadhali
 
kwa wajasiriamali. natafuta mayai ya kaware kwa ajili ya kutotolesha. nipo mwanza. msaada tafadhali

Tuko wengi ( Mwanza ) kama ukifanikiwa nami nijurishe maana nami nayatafuta kwa udi na uvumba
 
Kwa dar ni rahisi kuna jamaa ana mayai ,vifaranga sina contact zake ils nweza kukuelekeza
 
Kuna mama mmoja ni mfugaji mzuri sana kiukweli amenisaidia mpaka kufika hapa kwa yeyote anaehitaji vifaranga wa kware aseme nimpm namba ya huyu mama
 
nikipata mayai au kware wenyewe ni sawa. naomba contacts za huyu mtu
 
kama unahitaji vifaranga wa kware pamoja na mayai yake, tuwasiliane kwa namba +255789 411114
 
Kwa wajasiriamali, natafuta mayai ya kaware kwa ajili ya kutotolesha. Nipo Mwanza.

Msaada tafadhali

Nenda Buguruni, kituo cha basi za daladala ziendazo Muhimbili, lipo duka la madawa ya binadamu uliza ndani wanayo kiasi chochote unachotaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…