baba anjela
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 431
- 310
Si kweli mkuu. Hata kuku wa kienyeji anaweza kuwa na kiini cheupe na wa mayai anaweza kuwa na kiini cha njano.Mayai yenye kiini cheupe ndio hayo ya kisasa na yenye kiini cha njano ndio haya ya kienyeji.
Athali zake nyingi huwa naziona kwa mwanaume kama kuwa na matako makubwa.
Huu ni mtazamo wako lakini kiutaalamu haiko hivyo.Nadhani kuwa na kiini cha njano ni kuwa yai hai yaani kuku jike aligegedwaa na jogoo. Kuku wa kisasa wengi hutaga bila kukutana na jogoo.
Ni mtazamo tu usijenge chuki
Asante kwa somo. Limeniingia. Nimefuta ujinga wa ujimaHuu ni mtazamo wako lakini kiutaalamu haiko hivyo.
Yai lililorutubishwa na jogoo laweza kuwa na kiini cheupe au cha njano. Kwa taarifa yako hata kuku wa kienyeji naye pia anataga bila ya jogoo.
Hahahaah poa poa mkuu. Tunajifunza kila siku mambo mapya.Asante kwa somo. Limeniingia. Nimefuta ujinga wa ujima