kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 18,577
- 23,171
Aseme asiseme hakuna kitakachobadilika.Kwasasa sauti pekee iliyobakia kusema ni Fr Kitima! Asiposema Fr Kitima, Mungu atainua hata mawe yapige kelele
Hili tumsubiri mwenye mzee wa watu Pascal Mayalla. Lakini pia tuendelee kumuombea. Mtu hajawahi kuikosoa CCM akabaki salama. Tuombe sana yaliyowakuta akina Ben Saanane, Mdude, na Polepole yasimpate mzee wetu; bado watoto na wajukuu zake wanamhitaji.Nilikuwa najaribu kuunganisha dots, japo naweza kuwa nimekosea. Pascal Mayalla alikuwa team Lowassa. Na Nchimbi alikuwa team Lowassa. Na sasa kuna mvutano wa chini kwa chini kati ya Mwingulu na Nchimbi. Je Mayalla anamsaidia Nchimbi, waliokuwa wote team Lowassa?