Potelea mbali lazima niseme tu!
Mimi ni miongoni wa watu nisioamini katika namna wachezaji wanavyoitwa timu ya taifa, kwa mwendo huu sijui ni ubaguzi au fitina nini?
Kocha anamuita Boko eti kwa sababu ya injury ya mbaraka ,halafu anamuacha ajibu ball dancer and brain wa nchi ,poa.
Lakini pia Sure boy nae hayumo ,basi poa. Sisi kufuzu hatakuja kutokea kwa uozo huu, Na kuthibitisha hili timu hii haitafuzu tena mwaka huu, na kama kuna MTU anaona cosafa ni achievement basi atakuwa na tatizo la ufkiri.
Naungana na yule mbuge aliyoonesha kutokuwa na imani na uwezo wa kocha.
Povu ruksa !