Kifupi ni kuwa ajibu ni legelege while bocco ni mpambanajiPotelea mbali lazima niseme tu!
Mimi ni miongoni wa watu nisioamini katika namna wachezaji wanavyoitwa timu ya taifa, kwa mwendo huu sijui ni ubaguzi au fitina nini?. Kocha anamuita Boko eti kwa sababu ya injury ya mbaraka ,halafu anamuacha ajibu ball dancer and brain wa nchi ,poa. Lakini pia Sure boy nae hayumo ,basi poa. Sisi kufuzu hatakuja kutokea kwa uozo huu, Na kuthibitisha hili timu hii haitafuzu tena mwaka huu, na kama kuna MTU anaona cosafa ni achievement basi atakuwa na tatizo la ufkiri.
Naungana na yule mbuge aliyoonesha kutokuwa na imani na uwezo wa kocha.
Povu ruksa !
asanteHuyo ajibu akacheze namba ya Nani pale stars???
Acha upuuzi wako,
Acha utani wew? eti legelege kwa lipi sasa?Kifupi ni kuwa ajibu ni legelege while bocco ni mpambanaji
angalau wew unaeleweka, hiyo falsafa tusubir matokeoKila kocha ana style na falsafa ya ufundishaji kila mchezaji anafit kwenye falsafa fulani
Majina ya wachezaji na wew unadili na nn?. Uchambuzi ndo unataka wew , hlf wew mwenyew huwez kuchambua ,ni nikchambua utaelewa kweli, ni kuulize hivi unajua kwanini timu yetu inapata magoli machache?Nilitegemea uchambuzi wa kiufundi ni kwa vipi kumuweka boko na kumuacha ajib au sure boy utakavyoathiri uchezaji wa starz.
Lakini wewe inaonekana unadili na majina tu ya wachezaji mradi wawe wa simba au yanga
Hii tabia uliyoonyesha hapa ni moja ya sababu kwa ni kwa nini soka la bongo haliendelei
umegunduaje?Wewe Unaleta Uyanga Na Usimba Humu, Wa Tz Tupo Zaidi Ya Ml 40, Kila Mmoja Ana Uwezo Wa Kuchaguliwa
Hatuhitaji ball dancer bali mfungaji mabao. Unamfahamu Ariel Ortega?!Acha utani wew? eti legelege kwa lipi sasa?
bonge la uchambuzi. nimekusoma brother Tawa.Mleta "hili bandiko" nadhani hajui soka kabisa. Anachojua yeye ni kushabikia rangi za njano na kijani bila kujali ni kitu gani.
Boko anaopt vitu vingi zaidi kuliko ajibu. Kweli ajibu ni mchezaji mzuri, lakini hamfikii boko kwa kuwa na option nyingi zaidi.
1. Boko licha ya uwanjani, anakupa option ya kuwa kiongozi ndani ya uwanja na nje ya uwanja. Anaweza kuwa kiongozi kwenye vyumba vya kubadili nguo.
2. Boko ni standing striker (mshambuliaji parce) wakati ajibu anacheza nyuma ya striker. Mfano, wakati yupo simba, ajibu alikuwa anacheza nyuma ya Mavugo au Blagnon au Luizio. Kwa hiyo labda mwalimu wa national timu alihitaji mtu aina ya boko labda yeye hatumii mfumo utakaomuwezeaha ajib kucheza
3. Boko ana uzoefu na mechi za kimataifa kuliko ajibu. Boko amecheza mechi nyingi za timu ya taifa, toka enzi za maximo, amecheza mechi za kimataifa na timu yake ya azam wakati huo ajibu akisafiri kwenda kucheza na majimaji ya songea au stand united ya shinyanga akiwa simba.
4. Umbo la boko ni bora kuliko la ajibu. Umbo pekee linaweza kumtisha beki.
My take:
Tanzania hatuwezi kufuzu mashindano yoyote, siyo kwa sababu kocha anawaita wachezaji wa simba kama muandika "bandiko" anavyodai, bali kwa kuendekeza upuuzi wa aina yake mtoa mada wa usimba na uyanga katika masuala ya timu ya taifa. Idiot!!!!
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Sasa mkuu ungeuliza kwanza ....ajibu na boko wanacheza # tofauti pia sureboy.Potelea mbali lazima niseme tu!
Mimi ni miongoni wa watu nisioamini katika namna wachezaji wanavyoitwa timu ya taifa, kwa mwendo huu sijui ni ubaguzi au fitina nini?. Kocha anamuita Boko eti kwa sababu ya injury ya mbaraka ,halafu anamuacha ajibu ball dancer and brain wa nchi ,poa. Lakini pia Sure boy nae hayumo ,basi poa. Sisi kufuzu hatakuja kutokea kwa uozo huu, Na kuthibitisha hili timu hii haitafuzu tena mwaka huu, na kama kuna MTU anaona cosafa ni achievement basi atakuwa na tatizo la ufkiri.
Naungana na yule mbuge aliyoonesha kutokuwa na imani na uwezo wa kocha.
Povu ruksa !
Kocha huyo kakupandisha nafasi 25 viwango vya FIFA ujue, na ana rekodi ya peke yake mechi 7 bila kufungwaPotelea mbali lazima niseme tu!