Mayanga: Kumuacha Ajibu kumuongeza Boko, ni incompetency ya kiwango cha juu

Tufollow Instagram kama kandanda24 kupata updates za soka bongo
 
Naungana na yule mbuge aliyoonesha kutokuwa na imani na uwezo wa kocha.
Povu ruksa !
Nawaza tu kama Mayanga Angekuwa na Ngozi Nyeupe na Pua Ndefu kutoka Kulee sijui ingekuwaje kwa Rekodi hizi ( Nafasi 25 juu FIFA +Mechi 7 bila kupoteza). Nadhani Angepewa Mtaa(Mayanga Street) hapo Dar...
 
Mashabiki wa Yanga, wanafikiri kwa kutumia kwapa

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Acha ' Upuuzi ' Wewe ni nani aliyekuambia kuwa Ibrahim Ajib anajua mpira? Mchezaji anatembea kama ' Demu ' muda wote anaweza akacheza kweli mpira huyo? Mchezaji anayejua mpira anaweza kweli kwenda kwa wasiojua Yanga FC? Taifa Stars ataisikia tu katika ' Bomba ' na kuna ' Mchezaji ' mmoja wa Simba SC tena ' Beki ' tumeshampa ' Kazi ' maalum katika mechi yetu ya Ngao ya Jamii ' amtengue ' kama siyo ' kumvunjilia ' mbali kabisa ili asicheze tena VPL. Huyo ' Mtoto ' ametudharau mno wana Simba SC na hatutamsamehe mpaka na sisi pia tumuonyeshe kuwa michezo ya ' Kihuni ' na ya ' Kimjini ' tunaijua vile vile. Safi sana Kocha Salum Mayanga kwa kumuacha nje ya Kikosi chako Mchezaji Ibrahim Ajib kwani ' angetuchelewesha ' dhidi ya ' Amavubi ' Rwanda katika kutafuta ' ushindi ' siku ya Jumamosi huko CCM Kirumba Mkoani Mwanza.
 
mkuu kwani akienda yanga ndo umchukie?wakati yupo simba mlimwita mtoa burudani baada ya mond na kiba.mpira Ni maisha yake mwache ale pesa acha wivu kama shhhhh
 
Boco namba 9 Ajib 10 tuna tatizo la no 9

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Maneno ya rage huwa nikiyakumbuka? naanza kuamini.
 
mkuu kwani akienda yanga ndo umchukie?wakati yupo simba mlimwita mtoa burudani baada ya mond na kiba.mpira Ni maisha yake mwache ale pesa acha wivu kama shhhhh
huu mpira imekuwa nongwa sasa, mtu akihama tayari fitina znaanza
 
Nawaza tu kama Mayanga Angekuwa na Ngozi Nyeupe na Pua Ndefu kutoka Kulee sijui ingekuwaje kwa Rekodi hizi ( Nafasi 25 juu FIFA +Mechi 7 bila kupoteza). Nadhani Angepewa Mtaa(Mayanga Street) hapo Dar...
Tutaheshimiana tu,li timu lenu linapuyanga hovyo uwanjani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…