Who told you he needs financial and psychological support? Chid needs Sober, Jail and death thats why he has been using and carrying prohibited drugs...
Ruttashobolwa na wewe kiingereza kireefu. Huko Sober Centers wanawasaidia kisaikolojia pia, na kama huna financial support utaishi vipi?Au alimradi ubishe tu? Mwenzenu yupo serious nyinyi mnamkatisha tamaa.
kama hujawahi ishi na mteja (drug addict) unaweza kusema chid anafanya makusudi.
Na hizi sober centers za bongo ni michosho tu, hawa watu wanahitaji watu professionals, watu wanaojua kudeal na haya matatizo, na sio hawa wajanja wajanja wa sober centers za bongo.