Goli la mayele dhidi ya Namungo niujinga wa beki kumfukuza Mayele badala ya Mpira!Wasipokuelewa wana lao jambo. Hilo suala liko wazi kabisa, Mayele anatakiwa kulindwa.
Anapaniwa sana, yani wakati wote anawindwa tena anawindwa vibaya.
Nembo Ya TaifaSema ni nembo ya jiesiem na misukule yake.
Jumlisha magoli ya Sakho,Kagere,Mugalu,Boko na Kibudenga weka hapa.nembo ya taifa na tugoli twake 12
Mwananchi tetema...Jumlisha magoli ya Sakho,Kagere,Mugalu,Boko na Kibudenga weka hapa.
Akateteme chooniMwananchi tetema...
Analilia kiatu chakeAlisikika uto mmoyaa
Sawa, anaenda kuwa nembo ya ligi ya South AfricaMayele kwa sasa ni nembo ya LigiKUU ya Tanzania na pia ni nembo ya Taifa letu la Tanzania (Hata kama yeye si mtanzania).
Mayele akiumia na kukaa nje hata kwa mechi moja basi kuna hasara inapatikana kimapato katika vilabu vyote vya Ligi.