Mayele amuachie Saido kiatu cha mfungaji Bora NBC

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Ikiwezekana Mayele asijisumbuwe n kiatu cha NBC ni league Moja ya mchongo sana.

Hata mechi ya mwisho asicheze ili wampe Saido ufungaji bora kama walivyo mpa mpole ukiona mjinga anajitawala na kujisifu mpe nafasi ya kuonyesha alicho nacho.

Halafu mwakani tunakutana CAF champions, nina amini Mayele atafanya makubwa tena na inawezekana akawa mfungaji Bora kama alivyo fanya kwenye CAFCC.

Tayari afrika mzima wana mjua ni mchezaji mzuri Na mfungaji Bora namba 2 baada ya shellule
 
NTIBAZONKIZA ANAWASILIMIA UTO [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
KIATU KILE MSIMBAZI[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Chukuweni Na kombe chukuweni sisi malengo yetu ni CAF tu
 
FB_IMG_1682646137959.jpg
 
Kila ukijaribu kuangalia Nyuzi nyingi za KIPUMBAVU ni za Mashabiki WA Yanga.

Yale mnayoyaandika hapa ndio kipimo Cha Akili.

Upeo WENU WA mawazo, FIKRA na UFAHAMU ni mdogo sana.

Ndio maana Huwa mnaenda kupokea wageni UWANJA WA Mwalimu Nyerere.
Airport.
 
Ikiwezekana mayele asijisumbuwe n kiatu cha NBC ni league Moja ya mchongo sana.

Hata mechi ya mwisho asicheze ili wampe Saido ufungaji bora kama walivyo mpa mpole ukiona mjinga anajitawala na kujisifu mpe nafasi ya kuonyesha alicho nacho.

Halafu mwakani tunakutana CAF champions, nina amini Mayele atafanya makubwa tena na inawezekana akawa mfungaji Bora kama alivyo fanya kwenye CAFCC.

Tayari afrika mzima wana mjua ni mchezaji mzuri Na mfungaji Bora namba 2 baada ya shellule
Wewe pumba, nenda kateteme na huyo Mayelle wako, bila kusahau kuwa nyuma kuna mwiko!
 
Kila ukijaribu kuangalia Nyuzi nyingi za KIPUMBAVU ni za Mashabiki WA Yanga.

Yale mnayoyaandika hapa ndio kipimo Cha Akili.

Upeo WENU WA mawazo, FIKRA na UFAHAMU ni mdogo sana.

Ndio maana Huwa mnaenda kupokea wageni UWANJA WA Mwalimu Nyerere.
Airport.
Wengi ni vibaka tu wasioweza hata kufikiri
 
[QUOTE="kuwa mfungaji Bora kama alivyo fanya kwenye CAFCC.

Tayari afrika mzima wana mjua ni mchezaji mzuri Na mfungaji Bora namba 2 baada ya shellule
[/QUOTE]
Duh! Sitaki kuamini kuwa milembe kumeajaa....! basi pelekeni hta lutindi vchaa hawa
 
Wewe pumba, nenda kateteme na huyo Mayelle wako, bila kusahau kuwa nyuma kuna mwiko!
Mfungaji Bora wa CAF toka TZ imeanzishwa hakujawahi kutokea mfungaji Bora wa mashindano ya kimataifa tofauti Na mayele mpeni heshima yake
 
[QUOTE="kuwa mfungaji Bora kama alivyo fanya kwenye CAFCC.

Tayari afrika mzima wana mjua ni mchezaji mzuri Na mfungaji Bora namba 2 baada ya shellule
Duh! Sitaki kuamini kuwa milembe kumeajaa....! basi pelekeni hta lutindi vchaa hawa[/QUOTE]Hakuja Jaa utaenda Haya sio maneno yangu ni maneno ya wachambunzi wa mpira Barani afrika acha wivu
 
Back
Top Bottom