Chukuweni Na kombe chukuweni sisi malengo yetu ni CAF tuNTIBAZONKIZA ANAWASILIMIA UTO [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
KIATU KILE MSIMBAZI[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
Caf mmechukua nini?🤣🤣🤣Chukuweni Na kombe chukuweni sisi malengo yetu ni CAF tu
🤣🤣🤣 kumbe?Mfungaji Bora wewe umechukuwa Nini
Waache wajitie madole wenyewe na wanusishane wenyewe.Uwezo gani wakununua mechi mayele tayari afrika wanajua ni mfungaji Kweli Kweli hayo mengine ni porojo tu
Wewe pumba, nenda kateteme na huyo Mayelle wako, bila kusahau kuwa nyuma kuna mwiko!Ikiwezekana mayele asijisumbuwe n kiatu cha NBC ni league Moja ya mchongo sana.
Hata mechi ya mwisho asicheze ili wampe Saido ufungaji bora kama walivyo mpa mpole ukiona mjinga anajitawala na kujisifu mpe nafasi ya kuonyesha alicho nacho.
Halafu mwakani tunakutana CAF champions, nina amini Mayele atafanya makubwa tena na inawezekana akawa mfungaji Bora kama alivyo fanya kwenye CAFCC.
Tayari afrika mzima wana mjua ni mchezaji mzuri Na mfungaji Bora namba 2 baada ya shellule
Wengi ni vibaka tu wasioweza hata kufikiriKila ukijaribu kuangalia Nyuzi nyingi za KIPUMBAVU ni za Mashabiki WA Yanga.
Yale mnayoyaandika hapa ndio kipimo Cha Akili.
Upeo WENU WA mawazo, FIKRA na UFAHAMU ni mdogo sana.
Ndio maana Huwa mnaenda kupokea wageni UWANJA WA Mwalimu Nyerere.
Airport.
Duh! Sitaki kuamini kuwa milembe kumeajaa....! basi pelekeni hta lutindi vchaa hawa[/QUOTE]Hakuja Jaa utaenda Haya sio maneno yangu ni maneno ya wachambunzi wa mpira Barani afrika acha wivu[QUOTE="kuwa mfungaji Bora kama alivyo fanya kwenye CAFCC.
Tayari afrika mzima wana mjua ni mchezaji mzuri Na mfungaji Bora namba 2 baada ya shellule