Mayele anawaza kiatu cha dhahabu badala ya ushindi wa Yanga

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426

Picha: Fiston Kalala Mayele
Hata goli la pili alilofungwa Yanga Juzi, lilitokana na Mayele kushangilia kupita kiasi goli lake la kusawazisha , hii ni kwa vile aliamini aliongoza ufungaji kwa mabao yake 7

Mtu kama huyu mbinafsi hafai , Nashauri apigwe chini kwenye game ya marudiano angalau kwa dk 45 za mwanzo ,nimewapeni yanga game plan , Kazi ni kwenu .
 
Yanga mechi ya pili ni rahisi kwao kuliko ya Taifa, hawatakuwa na pressure. Na hii imejionesha mechi zote anacheza away, anacheza vizuri na kupata matokeo tofauti na ilivyotarijiwa, kumbuka mechi na Al Hilal, Monastir, Marumo, Rivers.

Yanga watafanya vizuri

Hata Simba tu walichofanya dhidi ya Wydad ni dhahiri Yanga wenye ubora zaidi wanaweza.
 
Kila la heri
 
Yanga mechi ya pili ni rahisi kwao kulilo ya Taifa, hawatakuwa na pressure. Na hii imejionesha mechi zote anacheza awaya anacheza vizuri na kupata matokeoa tofauti na ilivyotarijiwa, kumbuka mechi na Al Hilal, Monastir, Marumo, Rivers.
Uto unasema game ya away against al hilal ulipata matokeo gani? ebu tukumbushe kidogo.
 
Yanga watafanya vizuri

Hata Simba tu walichofanya dhidi ya Wydad ni dhahiri Yanga wenye ubora zaidi wanaweza.
Unasema Yanga inaubora upi kushinda Simba iliyomtesa wydad kwake mpaka kamasi linamchuruzika huku ikijichagulia namna ya kujipigia uto ikitandaza kabumbu la viwango vya champions league?
 
Unasema Yanga inaubora upi kushinda Simba iliyomtesa wydad kwake mpaka kamasi linamchuruzika huku ikijichagulia namna ya kujipigia uto ikitandaza kabumbu la viwango vya champions league?
ila moyoni unajua ukweli ni upi
 
Unaota
 
Unasema Yanga inaubora upi kushinda Simba iliyomtesa wydad kwake mpaka kamasi linamchuruzika huku ikijichagulia namna ya kujipigia uto ikitandaza kabumbu la viwango vya champions league?
Simba msimu huu kaambulia nini? No ngao ya jamii, no ligi kuu, no FA, bado kuna ubishi???Yanga ni bora zaidi ya Simba
 
Idiot unawafananisha Waydad na USM Alger ...
 
Simba msimu huu kaambulia nini? No ngao ya jamii, no ligi kuu, no FA, bado kuna ubishi???Yanga ni bora zaidi ya Simba
Sawa uto ni zaidi ya simba, na je kuhusu Usm Alger nikweli mtampiga kwake?
 
Ulikuwemò mawazoni mwake/ akilini mwake? Acha kuongea hisia zako, NYANKUNDO
 
Huna uhalali wa kuzungumzia hili maana wewe ni mshabiki kindakindaki wa simba
 
Kama sio una akili nini? Maana akipata kiatu kama malengo yake ndo hayo lazima atafunga, na akifunga ni ushindi
 
Jinsi unavyoleta taarifa kishabiki kwenye mpira (wewe ni kolo) ndio hivyo unafanya hata taarifa zako kwenye siasa zisiaminike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…