Mayele anaweza kuwatowa kweli Al Hilal?

Mayele anaweza kuwatowa kweli Al Hilal?

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Najua wengi mnajiuliza why always we talk about Mayele, kwani yeye peke yake ndiyo mchezaji pale Yanga?
Siyo kwamba yeye peke yake ndo mchezaji pale Yanga, bali uwepo wake pale yake ni ishara ya ushindi wa Yanga.

Yaani yeye ndiyo ana funguo ya ushindi pale Yanga kama alivyokuwa Messi na ufunguo wa Barcelona na wechezaji wengine.

Mayele akicheza vizuri hata asipofunga mwenyewe mnajua anavyo sumbua mabeki wa upande pinzani mpaka wanafikia hatua ya kumkaba kwa sana. Wanakuja kufungwa na mtu mwingine ambaye hawakutegemea.

MIMI KAMA Mkongo siwezi kubali sifa na ubora wa Mkongomani mwenzangu kwasasa ufikie kwenye shirikisho, I shall do some terrible thing for him.

I believe he can,
He must,
And he shall be the best in next game.

Yanga vs Al-Hilal 2-2
View attachment 2387080
 
MORRISON KAIBA CHUPI YA MWAMNYETO[emoji196][emoji196][emoji196][emoji170][emoji170][emoji170]
 
SSasa mnategemea tu kudra za mwenyezi?
Najua wengi mnajiuliza why always we talk about mayele Kwani yeye peke yake ndo mchezaji pale yanga?
Sio kwamba yeye peke yake ndo mchezaji pale yanga bali uwepo wake pale yake ni ishara ya ushindi wa yanga
Yaani yeye ndo ana funguo ya ushindi pale yanga kama alivyo kuwa messi na ufungua wa Barcelona na wechezaji wengine
Mayele akicheza vizuri ata asipo funga mwenyewe mnajua anavyo sumbuwa mabeki wa upande pinzani mpaka wanafikia hatua ya kumkaba kwa saana wana kuja kufungwa na mtu mwingine ambaye hawakutegemea

MIMI KAMA mkongo siwezi kubali sifa na ubora wa mkongomani mwenzangu kwasasa ufikie kwenye shirikisho I shall do some terrible thing for him
I believe he can
He must
And he shall be the best in next game.

Yanga vs al-hilal 2-2
View attachment 2387080
 
Back
Top Bottom