kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Najua wengi mnajiuliza why always we talk about Mayele, kwani yeye peke yake ndiyo mchezaji pale Yanga?
Siyo kwamba yeye peke yake ndo mchezaji pale Yanga, bali uwepo wake pale yake ni ishara ya ushindi wa Yanga.
Yaani yeye ndiyo ana funguo ya ushindi pale Yanga kama alivyokuwa Messi na ufunguo wa Barcelona na wechezaji wengine.
Mayele akicheza vizuri hata asipofunga mwenyewe mnajua anavyo sumbua mabeki wa upande pinzani mpaka wanafikia hatua ya kumkaba kwa sana. Wanakuja kufungwa na mtu mwingine ambaye hawakutegemea.
MIMI KAMA Mkongo siwezi kubali sifa na ubora wa Mkongomani mwenzangu kwasasa ufikie kwenye shirikisho, I shall do some terrible thing for him.
I believe he can,
He must,
And he shall be the best in next game.
Yanga vs Al-Hilal 2-2
View attachment 2387080